.

9/04/2021

Wanaigeria Waendelea Kushika Dunia.. Wizkid Auza Tiketi Elfu 20 Ndani ya Dakika 2 London, Uwanja wa 02 Arena

Ukisikia kigugumizi cha uandishi ndicho kilichompata msanii @wizkidayo baada ya kumchukua dakika 3 hasijue aandike nini kwa hii love ya mashabiki baada ya tarehe zote za show zake za MADE IN LAGOS TOUR pale The 02 Arena nchini Uingereza zinazotarajiwa kufanyika 28th & 29 November na 1st December mwaka huu, tiketi zake kumalizika ndani ya muda mfupi baada ya kutangazwa.

Ukumbuke ukumbi huo wenye hadhi ya juu nchini uingereza unaingiza watu elfu 20 pekee.

๐Ÿ”น28th November tiketi zilimalizika ndani ya dakika 12

๐Ÿ”น29th November tiketi zimemalizika ndani ya dakika 2

๐Ÿ”น1st Dec,tarehe iliyoongezwa sababu ya uhitaji,tiketi zimemalizika ndani ya dakika 35.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger