Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Wizkid Awakanyaga Vibaya Davido na Burnaboy Afrima


Wizkid ndiye Muimbaji kutoka nigeria ambaye amepata Nominations nyingi zaidi katika tuzo za Afrimma. Wizkid ana nomination sita, baadhi ya hizo ni "Artist of the year in Africa", "Best male artist in western africa" na "Album of the year"

Omah Lay, patoranking na Davido kila mmoja wapo amepata nomination nne.

Burnaboy, Tems, Olakira, Vector, TiwaSavage na Bella Shmurda, kila mmoja wapo amepata nomination tatu.

Yemi alade, ladipoe, The Isomers na Cavemen, Nomination Mbili.

Zoezi la Upigaji kura Online litaanza Hivi karibuni.


 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments