Ticker

6/recent/ticker-posts

Baba Levo "Kina Harmonize Wamepata Hasara Kubwa Marekani"


Chawa Pro Max anayepata michongo mjini, @officialbabalevo akiwa Serena Hotel leo kutambulisha dili jipya na kampuni ya kubashiri ameongelea kauli ya @diamondplatnumz kuwa wasanii wafanye nyimbo nzuri ili wakifanya Show Marekani wajaze.

Baba Levo amedai kilichowatokea akina Ibrah na Harmonize ni Hasara sana huku akidai kauli ya Diamond iko sahihi kabisa na watu wasipige picha ukutani kwenye show za Diamond alafu waseme hajajaza,huwezi jaza show jadi ukapasua ukuta.


Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Polisi, Names of Individuals Chosen to Join Tanzania Police Force

“Wamepata hasara sana akina Ibrah,wamepata hasara kubwa. Wanaweza sema faida ni kujitangaza lakini ujitangaze ukiwa na mafanikio sio kwa kujidhalilisha kama vile show ina watu saba,nane..”- B Majumba

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments