Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Haji Manara "Siongei na Antonio Nugaz Sababu..."

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Afisa habari wa klabu ya Yanga @hajismanara kupitia mahojiano aliyoyafanya na kipindi cha #lavidavi ya Wasafi FM amefunguka mambo mengi ikiwemo sakata la yeye na aliyekua afisa muhamasishaji wa klabu hiyo @antonionugaz.

“Siongei na Antonio Nugaz kwa sababu alinitukana bila sababu, kuhusu kufukuzwa kwake au kutolewa kwake mimi sihusiki sababu sipo kwenye bodi ya yanga, mimi ni msemaji tuu”🗣️@hajismanara

Sakata hili limekua likihusishwa na video clip iliyowahi kusambaa mtandaoni ikimnukuu aliyekua afisa muhamasishaji wa yanga Nugaz akieleza kuwa wamemchukua msukule wao, jambo lililohisiwa kumlenga manara ikiwa ni siku chache baada ya Haji kutangaza rasmi kujiunga na Yanga.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments