Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Huenda Ali Kiba Amesainiwa Lebo Moja na Diamond Platnumz WarnermusicKupitia ukurasa wa Instagram wa @warnermusicsa wamepost Video ya alikiba huku ikionekana huenda star huyo ameingia makubaliano ya promotion na kampuni hiyo .

Mpaka sasa Kwa uthibitisho rasmi Waner Music walitangaza kuingia makubaliano na msanii Diamond platnumz ili kusimamia kazi zake .

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments