Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Msanii Mpya wa Rayvanny Macvoice KINARA BoomPlay


Wimbo wa #Nenda kutoka kwa @macvoice_tz umefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza katika orodha ya nyimbo 100 (Top 100) ya nyimbo zilizo fanya vizuri katika mtandao wa @boomplaymusic_tz wiki hii.


Wimbo huo unaopatikana katika EP yake ya 'My Voice' umeitoa kileleni wimbo wa #Naanzae wa @diamondplatnumz ulio shika nafasi ya kwanza kwa zaidi ya majuma ma nne mfululizo .

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments