Ticker

6/recent/ticker-posts

Rais Samia Suluhu Awamwagia PONGEZI Kedekede Wachezaji wa Kike wa Twiga Stars Baada ya Kuchukua Kombe


Raisi wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ametumia kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii kuwapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi la timu ya taifa ya wanawake #TwigaStars­čç╣­čç┐ kwa kuibuka mabingwa wa mashindano ya #Cosafa2021 kwa upande wa wanawake baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika mchezo wa fainali.

Tangaza kwenye Blog Hii Piga number 0714604974

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments