Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mke wa Aristote "Mume Wangu Kuwa Chawa sio Tatizo ili Mradi Alete Hela Nyumbani"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREMke wa @aristotee , Emmy amedai mumewe kuwa chawa kwake anaona ni jambo zuri tu maana kila akitoka kwenye uchawa na mastaa kama Diamond,Irene Uwoya na Freddy VunjaBei lazima arudi nyumbani na mtonyo mzuri tu, hivyo kwake anaona ni kazi nzuri.

Haya ameyasema akiwa ndani ya Big Sunday Live ya Wasafi TV.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments