Museveni "Kama kujilipua ni kwenda peponi, aache kutumia vijana wadogo ajitolee mfano yeye"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Rais wa Uganda Museveni amelaani vikali mashambulio yaliyokumba mji mkuu wa Kampala Jumanne asubuhi.

Katika taarifa iliyotolewa Jumanne usiku saa kadhaa baaada ya mashambulio hiyo ambapo alitumia majini ya wanyama kuwakemea na kutaja majina yao.

“Mlipuaji wa CPS alifahamika kama Mansur Othman na yule aliyejilipuakatika ofisi za IGG anaitwa Wanjusi Abdalla,” rais alisema.

Aliongeza kuwa maelezo yalipatikana kutoka mtu wa tatu ambaye pia alikuwa mlipuaji wa kujitoa mhanga ambaye walinzi walimkamata Bwaise lakini alibainisha kuwa baadaye alikufa kutokana na majeraha ya risasi aliyopata wakati wa kukamatwa kwake mapema Jumanne.



Rais aliwataja washambuliaji hao wa kujitoa mhanga waliokufa kama waathiriwa wa machafuko, kuwalaumu walioshawishi kuwa na msimamo mkali na kuwataja nguruwe.

“Nguruwe halisi ni watu kama Nsubuga, yule anayeitwa Sheikh aliyewachanganya vijana kule Lweza. Iwapo kujilipua kutampeleka peponi, ajilipue kama mfano badala ya kuwadanganya watoto wadogo,” Museveni alisema.

The real pigs are people like Nsubuga, the so-called Sheikh that confused young people at Lweza. If blowing oneself up will send one to Jaanaa, let him blow himself up as an example instead of manipulating young children.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad