Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rais wa Afrika Kusini atangaza maombolezo ya siku nne kwa De Klerk


Afrika Kusini imetangaza siku nne za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wa mwisho mzungu FW de Klerk Alhamisi.


Maombolezo ya kitaifa yanaanza Jumatano jioni hadi Jumapili jioni na "bendera ya taifa itapeperushwa nusu mlingoti kama ishara ya heshima," ofisi ya rais ilisema.De Klerk alifariki Alhamisi wiki iliyopita akiwa na miaka 85 baada ya kupatikana na saratini mapema mwaka huuAchomwa siku ya Jumapili katika mazishi ya faragha itakayohudhuriwa na na jamaa zake pekee.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments