Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Ujumbe Mzito Kutoka Kwa Moses Iyobo Kuhusu Wimbo Mpya wa Diamond "Ukitaka Mziki Mzuri Kasikilize Kwaya"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram(Insta-Story) Dancer Maarufu Wa Diamond Platnumz @moseiyobo Ameandika Ujumbe Unaosadikika Ni Ujumbe Maalum Kwa Wanaokosoa Wimbo Mpya Wa Diamond Platnumz ‘Unachezaje’

Mose Ameandika Ujumbe Huo Ulisomeka Hivi ✍“Kama Unataka Mziki Mzuri Kasikilize Kwaya, Sie Tunatoa Hit. Mgeukie Jirani Yako Muulize Kwani Unachezaje”

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments