Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Diamond Platnumz Amnunulia Zawadi ya Milion Mia na Usheee Mama yake Mzazi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kutoka insta story ya mama wa mwanamuziki Diamond Platnumz @mama_dangote anaandika maneno ya kumshukuru mtoto wake kwa kumzawadia zawadi ya cheni yenye thamani ya zaidi ya 110,688,000.00 (110.6) kwa fedha ya kitanzania.

“Kuzaa kuzuri, Asante baba wng Naseeb Kichwa @diamondplatnumz 48.000$” anaandika @mama_dangote

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments