Meli ya starehe iliyokwama Lisbon kutokana na Covid yaondoka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Picha ya meli ya safari za kifahari
Meli ya safari za starehe inayoendeshwa na kampuni ya Ujerumani, ambayo ilikuwa imekwama katika bandari ya Lisbon baada ya kuzuka mlipuko wa virusi vya corona kwa mabaharia hatimaye imeondoka.

Hatua hiyo ni baada ya baadhi ya abiria kugundulika wameambukizwa Covid kwa mujibu wa mamlaka ya bandari. Meli ya AIDAnova, ikiwa na abiria 2,844, na mabaharia 1,353 ilitia nanga Lisbon, Disemba 29 ikiwa njiani kuelekea kisiwa cha Madeira kwa ajili ya kusherehekea mkesha wa mwaka mpya, ilishindwa kuendelea na safari baada ya kugundulika maambukizo 52 ya Corona kwa watu waliokuwa wamechanjwa kikamilifu Covid-19.

Imeruhusiwa kuondoka bandarini hapo na kuelekea katika kisiwa cha Uhispania cha Lanzarote Jumapili, lakini watu 12 zaidi wamegundulika kuwa na maambukizi ikijumuisha abiria wanne alisema nahodha wa meli hiyo. Abiria watasafirishwa kurejea makwao kwa ndege aliongeza kusema licha ya kutotoa taarifa zaidi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad