Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad amesema Siasa inapelekea kutowekwa malengo yanayopimika katika Awamu za Utawala
Amesema, "Kwasababu ya Siasa hatujui malengo ni yapi, yanapimwa vipi na kwa wakati gani. Siasa kwa sehemu kubwa inatuharibia"
Amezungumzia upande wa Kilimo akisema japokuwa Tanzania inatajwa kuwa Nchi ya Kilimo, mabwawa yapo katika Wilaya chache. Ameeleza, "Ukitaka kuboresha kilimo, hakikisha una maji ya kutosha"
0 Comments