Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwanawake Anapenda Umfanyie Mambo Haya Manne Usiku
WANAUME walivyokuwa na kazi kibao kila wakati, husahau kuwafanyia mambo kadhaa wake zao ili waendelee kuwa na furaha.

 Usikubali Kupitwa na Udaku wa Mjini INSTALL App ya UDAKU Special >>HAPA ili Tuwe Tunakutumia Moja Kwa Moja Kwenye Simu Yako

Wanawake wengi wamekuwa wakisaliti ndoa zao kwa vile kuna wanaume pembeni wanaowafanyia mambo yanayowafanya wawe na furaha.  Yatuatayo ni mambo anayotakiwa mwanamme kumfanyia mkewe wakati wa usiku ili aendelee kuwa na furaha: 

1. Ukirejea kutoka kazini, mwulize kila mara mkeo mambo yalikwendaje nyumbani. Hili ni muhimu kwani kila mwanamke anapeda kujua mumewe alikuwa anamjali vipi katika shughuli zake za kila siku.

 2. Hakikisha unaingia jikoni kila mara usiku na kumsaidia kupika.  Jambo hilo wanawake wengi wanalipenda — kusaidiwa kupika na wenzi wao.

 

 


3. Ni muhimu kutazama sinema pamoja usiku.  Hii inamsaidia mwanamke kutuliza akili yake.   Baada ya kumaliza kutizama sinema inabidi msali pamoja.4. Wawawake hupenda kubembelezwa.  Ni kwa kumkumbatia mkiwa kitandani hadi apate usingizi.  Hili humfanya afurahi na kulala vyema.
 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments