Meena Ally Acharuka "Polisi Tanzania na Mamlaka zote Husika, Wanawake Tunadhalilishwa Sana Mitandaoni"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika meena ally;
"Moja kati ya tatizo linalokua kwa kasi na hii mitandao Tanzania ni tatizo la Cyber bulling na cyber sexual abuse.
Kwa bahati mbaya sana siku hizi watu wana njaa ya kuona mwenzao anadhalilishwa mtandaoni au kufanya kazi hiyo ya udhalilishaji wenyewe.

Habari zinazofika mitandaoni hazithibitishwi kama inavyotakiwa na udhalilishaji unaomkuta mtu watu wanaushadidia bila kujali anaedhalilishwa atakua anajiskiaje.
Kwa bahati mbaya wanawake ndio victims wakubwa sana sana wa hili tatizo maana wao wanaonekana easy target!

Mtu unashikilia kudhalilisha mtu wakati humjui vizuri na wala hata hujui anakula nini asubuhi na analalaje,ila vidole vyako na smartphone na sometimes camera vinakudanganya kwamba unaweza kumwambia chochote kile. Ndugu zangu,mtu yeyote unaemtolea maneno ya kashfa haujui anapitia nini kwenye maisha yake,jitahidi ujiangalie mwenyewe kwanza, kuna watu wanajiua sababu ya cyber abuse, please tusijiskie easy kudhalilisha mtu au kushupalia maneno ya mtandao.

This is a public call to @polisi.tanzania na mamlaka zote husika, wanawake tunadhalilishwa sana mitandaoni na tunaomba hili jambo mlishupalie kabla halijakua zaidi na zaidi!

Pole @wemasepetu you are a sweetheart, its hard to be alive in this generation of coward bullies that are ready to ruin everything someone works hard for. Inshaallah hili litapita.

EndCyberBulling"


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad