3/15/2022

Hamisa Mobetto Jimbo Lipo Wazi Ila.......

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA


HAMISA Mobeto @hamisamobetto ; ni staa wa mitindo na muziki kutoka nchini Tanzania ambaye pamoja na kuwa mama wa watoto wawili, lakini bado anatishia amani kutokana na urembo Hamisa ameendelea kutoa jumbe mbalimbali za kimaisha kupitia kurasa zake za kijamii huku akisisitiza kwamba, kwa sasa yupo singo; wenyewe wanasema jimbo lipo wazi.

Anasema; “Before you fall in love with me, unlove everybody in your past…”

Akimaanisha kabla ya kunipenda, hakikisha umewaondoa wote uliowapenda huku nyumba…”
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger