Kiongozi Mkuu wa Iran "Ukraine Kuiamini Marekani ni Kosa Kubwa Sana, Wanataka Wauze Silaha tu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Ukraine ni Muhanga wa mgogoro ambao umetengenezwa na Marekani na kusema kuiamini Marekani kwenye mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi ni kosa kubwa.

Khamenei amesema Iran inaunga mkono mazungumzo ya amani ya kumaliza vita hiyo lakini imesema ni muhimu mzizi uliosabanisha mzozo huo ukajulikana.

Itakumbukwa Wiki iliyopita China pia ilisema inafuatilia kwa ukaribu mzozo kati ya Urusi na Ukraine na kuilaumu Marekani kuwa inachochea mzozo huo ili iendelee kuuza silaha za kivita kwa Ukraine "Sio sawa kuwanyooshea vidole Watu kwa moto uliouchochea mwenyewe"

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad