3/19/2022

Majambazi Waua Mfanyabiashara na Kupora Fedha Kigoma


Mfanyabiashara na Mkazi wa Nyamidaho, Wilayani Kasulu ameuawa kwa kupigwa risasi na Watu wanaosadakiwa kuwa ni Majambazi

Kamanda ACP James Manyama amesema Majambazi hao walivamia wakiwa na bunduki AK 47. Daglas (38) alipigwa risasi Mkono wa kulia na kwenye nyonga na kusababisha kifo chake


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger