Diamond Platnumz "Angela na Ibrah wa Kondegang ni Wajukuu zangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kulingana na mahojiano yake na kituo cha BBC Swahili jijini London Uingereza, mwanamuziki @diamondplatnumz amewataja wanamuziki @anjella_tz na ibraah_tz wote kutoka KondeGang kama wajukuu zake katika sanaa.

Simba🦁 Diamond ameeleza kuwa huwa anafurahi kuona msanii aliyemsaidia na yeye akiwasaidia wengine na kuongeza idadi ya wasanii wapya nchini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad