Kampuni ya Netflix imesimamisha mpango wa Utengenezaji wa filamu ya Will Smith ‘Fast And Loose’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kampuni ya Netflix imesimamisha mpango wa Utengenezaji wa filamu ya Will Smith ‘Fast And Loose’ kufuatia sakata lake la kumchapa kibao mchekeshaji Chris Rock kwenye usiku wa Tuzo za Oscars.

Tovuti mbali mbali zinaeleza kwamba, filamu hiyo ilianza kukosa muelekeo baada ya kumpoteza Muongozaji wake, na wakati Netflix wakiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta mtu mwingine, ndipo sakata la Will Smith likaibuka na kuwafanya wautie kwapani mpango huo.  
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad