Wahuni Wajaribu Kuidukua Account ya YouTube ya Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wadukuzi /wahalifu wa mtandaoni (hackers🎭) usiku wa kuamkia leo walijaribu kudukua youtube channel ya mwanamuziki na CEO wa record label ya WcB Wasafi @diamondplatnumz ,kwa kubadisha jina na utambulisho wa picha/ profile picture wakitumia logo ya kampuni ya Tesla ya tajiri namba moja duniani #ElonMusk.

Hata hivyo Zoezi hilo halikufanikiwa kudumu kwa muda mrefu kwani account hiyo ilifanikiwa kurudi kwenye hali yake.

Cc✍️ @keviiiy.iam


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad