5/10/2022

Bob Junior afunguka mahaba yake kwa Wema Sepetu

 


Sharobaro President Bob Junior ameweka wazi kwamba msanii wa filamu Wema Sepetu ni mwanamke wake na huenda akamtolea posa kumuoa. 

Akimzungumzia Wema Sepetu kupitia na Planet Bongo ya East Africa Radio Bob Junior amesema 

"Ni mwanamke wangu na mke wangu kabisa msitake kujua vitu vingi, mapenzi yetu si vyema kuyazungumzia sana ila wafaham ni mwanamke wangu pengine nitamposa".

Wawili hao wame-make headlines mitandaoni baada ya Bob Junior kupost video akiwa anam-kiss Wema Sepetu.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger