FIFA limeitoza Shirikisho la Soka nchini Senegal faini ya Takribani TSh. Milioni 418 kwa kutumia tochi ‘Lasers’ pia kuwasha fataki, kuvamia uwanjani na kushindwa kuhakikisha usalama na amani wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Misri. Aidha, imeamriwa kuwa mchezo wake mmoja itacheza bila mashabiki.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA