Jackie Cliff na Shutuma Kwenye App ya Mange Kimambi Kuwa Ameanza Tena Kusafirisha Dawa za Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jackie Cliff shutuma kwenye app ya Mange Kimambi kuwa ameanza tena kusafirisha dawa za kulevya

Baada ya Shutuma hizo Kutoka Kwa Mange Kimambi, Jack Clif Ameandika Haya:

"Maadui ni wengi sana even those ambao hukutarajia…Anaeongelewa hata nilipokuwa Dubai sikuonana nae for 10 years now sijapata kumuona na sijui hata kama anaishi au kafa..Yani binadamu ni wabaya sana kwahiyo nimetoka jela huku nnje pia niwe mfungwa wa maisha yangu..Nisitoke tatizo,nisivae tatizo,nisipost insta tatizo,nikisafiri tatizo basi mnataka niishi mpendavyo nyie au?! Mnanichosha sana…Shortly endeleeni kuniombea mabaya nizidi kubarikiwa…Sitakuja kugusa hivyo vitu wala sitakuja kurudi jela…

Ila kumbuka unapomuombea mwenzio mabaya yatakurudia wewe..Na mtu muongo ni muuaji..Unapotosha jamii watu wakuamini huku ukijua unamuumiza mwingine…

God never sleep…And nobody will bring me down this time kwa habari za uongo..

Sijabeba Madawa na sitarajii kubeba wala kufanya madawa all my life..Yaliyopita yamepita i started new everything..And I’m proud to be where I am right now…

Nilikuheshim na kufanya interview na wewe while I rejected all medias ila hunaga jema haya ndio malipo…Unanikosea sana..

Tena naomba kila mtu ajue kila nikisafiri nitapita Airport ya Dar.Tena ukiniona ongea hata na police wa Airport wanisachi mpaka mnivue nguo sina cha kuogopa im ready coz sina baya na sifanyi baya Im clean my dear…

Na tusipangiane Maisha mi ni mtu mzima na akili zangu usione nakurupukia tu maisha…

…Yah ulinilipa na nilikataa interview zote ili usijeleta matatizo kwa watu @mangekimambi_ ila pesa yako uliyonilipa is this how you take it back🙄..

Unaenda kuwaaminisha watu mimi nimerudia madawa kweli..Unasema wewe huandikagi uongo basi sawa tusubiri nikamatwe kama Mungu yupo na mimi im a believer basi nikamatwe mwaka huu usiishe…Na ukiona unachoniombea hakijatokea unafanyaje?!  " Jack Cliff
________________

KISASI CHA USALITI PENZINI !!!,usipoipenda simulizi hii dai Mb na pesa zako,licha ya kuenjoy mahaba ndani yake kuna kitu cha kujifunza mwishoni Bofya Hapa kusoma Sehem ya 1 bure,sehem iliyobaki tsh 2000 kwa mtandao wowote.

Tembelea www.makapedia.com kwa stori mpya kila tarehe moja.


JE UNATAKA BIASHARA YAKO IWE YA UHAKIKA MIAKA YOTE YAJUE HAYA? usikose kitabu hiki Bofya Hapa kusoma sehem ya 1 bure sehem ya 2 tsh 2000 tu 

ndani ya www.makapedia.com

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad