5/04/2022

Juma Jux Azawadiwa Chupa ya Hennessy ya Milioni 7.5 na Mmiliki wa Kinywaji HichoMsanii kutokea hapa nchini #juma_jux akiwa Jijini Paris,Ufaransa amepata bahati ya kukutana na kizazi cha nane cha wamiliki wa kinywaji maarufu duniani ,Hennessy.

Mr Hennessy amemzawadia Juma Jux, chupa ya Hennessy yenye jina lake (Juma Jux) yenye thamani ya shilingi Milioni 7.5 za Kitanzania.

Kupitia ukurasa wake wa instagram #juma_jux ameshare video akiwa na Mr Hennessy na amewajuza mashabiki zake kuwa wakae mkao wa kula kwani mambo makubwa zaidi yanafuata.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger