Kocha Julio Asema Morrison Hakuwa na Mchango SIMBA "Nitashangaa Yanga Wakimrudisha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kocha Msaidizi wa Namumgo na mchezaji wa zamani wa Simba Jamuhuri kiwelu Julio amesema, ni jambo jema kwa uongozi wa simba kuachana na nyota wao Bernard Morison kwani hakuwa na msaada wowote katika kuisaidi Simba icheze kama timu ndani ya uwanja zaidi uwezo wake binafsi.

Julio amesema uwezo huo ndio ulikuwa ukionekana kinyume kabisa na mahitaji soka la kileo, akiamini simba watampata Morrison mwingine kwani wamepita mastaa wengi kwenye klabu hiyo kumzidi.

Ameendelea kusema kuwa atashangazwa sana kama uongozi wa yanga wakiamua kumrejesha mchezaji huyo, ambaye aliwasumbua hapo kabla ili tu kuikomoa simba.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad