Licha ya Kufukuzwa Chadema Kina Mdee Watinga Bungeni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei 13, 2022.

Jumatano ya Mei 11, 2022 Baraza Kuu la Chadema lilitupilia mbali rufaa za wabunge hao 19 kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kuwafukuza uanachama kwa tuhuma za usaliti kwa kukubali kwenda kuapishwa kuwa wabunge kinyume na msimamo wa chama hicho kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020.

Mbowe: Na wao waache uhuni

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewajibu Halima Mdee na wenzake 18 kuhusu uamuzi uliofanywa usiku wa kuamkia leo na Baraza Kuu la chama hicho, waliouita wa ‘kihuni’, akiwataka na wao kuacha uhuni. Soma zaidi

Halima Mdee: Kilichotokea ni uhuni

Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ni uhuni. Soma zaidi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad