Mwanamuziki nguli mkali wa RnB Robert Kelly π.π€ππ₯π₯π² huenda akahukuniwa kifungo cha maisha jele, kulingana na mashataka yanayo mkabili ya uhalifu wa kingono.
Kulingana na mtandao wa Radar Online, kesi yake imepangwa kusikikizwa tena Agosti 1, 2022, akikabikiliwa na mashtaka ya ponografia ya watoto, na kuzuia kesi ambayo inaweza kumfunga maisha gerezani.
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment