Daktari Amethibitisha Kwamba Megan Thee Stallion Hakupigwa Risasi Mguuni na Tory Lanez

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPADaktari amethibitisha kwamba Megan Thee Stallion hakupigwa risasi mguuni kama anavyodai bali alikatwa na vioo kwenye tukio ambalo linamtaja Tory Lanez kumpiga risasi.

Uchunguzi umebainisha kwamba baada ya kutokea vurugu baina ya washkaji ambao walikuwa pamoja nao kwenye gari, zilipigwa risasi kadhaa ambazo zilivunja vioo vya gari na wakati Megan Thee Stallion akijitahidi kutoka nje ya gari, alivikanyaga na kumuumiza.

 NAFASI ZA AJIRA BONYEZA HAPA


 JINSI YA KUANDIKA CV BORA BONYEZA HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad