5/10/2022

Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Firauni....Hivi ni Viatu Vipya Bei Milioni 4


Toleo hilo jipya la viatu pea moja inauzwa dola $1850 ambazo ni milioni 4.2 za Kitanzania. Viatu hivyo vinatoka kwa Balenciaga ambayo ni moja ya brand ghali na maarufu duniani kuhusu bidhaa za fashions


Hivyo viatu hapo licha ya kuonekana vipo hoi ila ni vipya

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger