5/07/2022

Zitto Kabwe "Nataka Kuwa Rais wa Tanzania"Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema ndoto yake siku moja ni kuiongoza Tanzania, akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Amesema, "Mimi Urais nautaka, sababu naamini nina uwezo, nina maarifa, nina uzoefu wa kutosha katika Siasa kuweza kuiongoza Nchi yetu kupiga hatua mbele, lakini siwezi kusema moja kwa moja kuwa nitagombea Urais mwaka 2025"

Amesema uamuzi wa kugombea unatokana na kudra za Mungu, Chama lazima kitoe dhamana na baadaye wananchi. Pia kama Vyama vya Upinzani vikishirikiana kutoa Mgombea inawezekana nikawa mimi au mwingine"


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger