Familia ya Profesa Jay Wafunguka "Profesa Jay Hayupo Nyumbani'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kusema leo kwamba Legend wa Bongofleva Joseph Haule (Profesa Jay) ameruhusiwa kutoka Hospitalini hapo kwenda nyumbani baada ya kulazwa kwa siku 127, Familia yake imesema Nguli huyu hayupo nyumbani kwake bali sehemu yenye uangalizi maalum.


"Watu wanaweza kudhani kwakuwa Profesa Jay ametoka Hospitali wanaweza kudhani yupo tayari nyumbani, Mtu akiwa amekaa Hospitali kwa muda mrefu hauwezi moja kwa moja ukatoka ukaenda nyumbani bado kuna uangalizi anatakiwa aendelee kuupata, sio kwamba yupo nyumbani kwake ila ametoka Hospital ila yupo sehemu anapatiwa uangalizi maalum na sio nyumbani kwake" amesema Mdogo wake Black Rhyno

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad