Hamisa Mobetto "Nilimwambia (Rick Ross) Alete Ng’ombe Nyumbani Kwetu Kama Anataka Niwe Wake"
"Nilimwambia (Rick Ross) alete ng’ombe nyumbani kwetu kama anataka niwe wake, akasema ataleta Bulls. Lakini pia amesema nimtafutie nyumba na anatamani kuja ku-Invest Tanzania" Mobetto ameiambia The Switch ya Wasafi fm
"Nakumbuka nilikua nipo live Instagram, tena ilikua Kipindi cha Ramadhani ndipo ambapo Rick Ross aliweza kuniona na nadhani alipenda uwezo wangu wa kujieleza na baada ya hapo ndio mambo mengine yakafuata" ameongeza

"Kuhusu kufanya ngoma na Rick Ross ni kwamba kuna wimbo ambao tunaufanya na utakua ni wimbo wake ambao kaamua kunishirikisha na projects nyingi nyingi tu zitakuja " amesisitiza mrembo huyo anayetajwa kuwa na mvuto wa hali ya juu
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad