6/09/2022

Mwijaku: Diamond angekuwa na hela ndugu zake wasingekuwa wanalia na shida za 20,000

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mtangazaji huyo wa Clouds FM ameeleza kuwa yeye hayupo Upande wa Diamond na kuwa hata safari ya Mwanza hakupelekwa na Diamond bali alipelekwa na Wasafi bet kwa sababu wote ni mabalozi wa kampuni hiyo ya kubet.

Mwijaku anasema wakati yupo Mwanza na @diamondplatnumz alimuuliza yeye kalipwa bei gani maana wote ni mabalozi.

Mwijaku amehoji kuwa kama Diamond angekuwa na hela ndugu zake wasingekuwa na shida huku akimtolea mfano Ricardo Momo kuwa alimuomba hela ya Luku Tsh 20,000.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger