Ndoa ya Jack Wolper na Rich Mitindo Yanukia...Wataja Tarehe ya Harusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Richi Mitindo amesema harusi yake na Jacqueline Wolper inatarajiwa kuwa mwezi wa 11 mwaka huu na bajeti ya harusi yao itakuwa si chini ya milioni 50


Aidha, Richi amesema mtoto wao wa kiume P anamiliki gari la kuchezea aina ya Range Rover ambalo thamani yake ni milioni 4 za Kibongo. Vilevile chumba anacholala mtoto huyo kina vitu vyenye thamani ya milioni 10 za Kibongo huku kitanda cha dogo huyo kikiwa cha milioni 1.2


Richi amesema mtoto wao huyo maarufu kila mwezi analipwa mshahara na makampuni yaliyoingia nae mikataba ya kikazi na pia mtoto huyo anatumia si chini ya milioni 2 katika photo shoot pekee

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad