6/22/2022

Rasmi Kabisa Sasa Mchezaji Sadio Mane Atua Bayern Munich Kukiwasha

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Rasmi klabu ya Bayern Munich imekamilisha usajili wa mshambuliaji Sadio Mane akitokea Liverpool kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka 2025.


Kwa uhamisho huo wa Sadio Mane ndani ya Bayern Munich, unamfanya kuwa mchezaji wa Afrika anayelipwa zaidi kuliko yoyote kwa sasa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger