6/13/2022

RC Arusha: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya tukio

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo.

“Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya tukio la machafuko kutokea” – Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Mongella

Pia amesisitiza na kuwaomba Watanzania kuendelee kuwapuuza wale wote wanaotumia kauli ya Waziri Mkuu kwa nia ovu na maslahi yao binafsi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger