JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Mimi Mars Akiwa Kwenye Big Sunday Live ya Wasafi Tv hii leo June 12, Moja ya swali aliloulizwa hit maker wa La La, Mimi Mars , ni atamchagua nani kati ya Diamond na Marioo ikitokea amepewa nafasi ya kuchagua mmoja wapo kwaajili ya kutoka naye Out. Mars amemtosa Diamond Platnumz Live na kumchagua Marioo Ambae kuna tetesi kuwa Wanatoka Kimapenzi Japo bado wenyewe wanasua sua kuweka hili jambo wazi
0 Blogger:
Post a Comment