JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Humphrey Polepole Balaozi wa Malawi anayeiwakilisha Tanzania, kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ujumbe kuhusiana na siku ya Baba Duniani.
Balozi Polepole Ameandika..✍️
"Ubaba si kuzaa tu, Ubaba Kulea! Kongole kwa wababa wote wanaolea. Happy Fathers Day! Baba Kuzaa na kutokulea ni uhuni! Kazi ni Moja, Kuchapa kazi #kataawahuni"
0 Blogger:
Post a Comment