Ticker

6/recent/ticker-posts

Burna Boy Afunguka Kuwa Last Last Ndio Wimbo Wake Uliomuingizia Pesa Nyingi Kuliko zote Alizowahi toa


Mkali wa Afro Fusion, supastaa Burna Boy ameutaja wimbo wake, "Last Last" kuwa ndio wimbo uliomuingizia mtonyo mrefu zaidi kuliko wimbo wake wowote ambao amewahi kuutoa. Burna amefunguka hayo kwa mara ya kwanza kupitia Sneakers show.


Hata hivyo, asilimia 60 ya mapato yanayotokana na wimbo huo "Last Last" yanaenda kwa Toni Braxton na yeye kusalia na asilimia 40 tu kwa sababu amesample wimbo "He Wasn't Man Enough" wa msanii huyo wa Marekani.


Ikumbukwe, "Last Last" ni wimbo unaopatikana kwenye album mpya ya Burna Boy iitwayo 'Love Damini' iliyotoka Julai 8, mwaka huu.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments