Ticker

6/recent/ticker-posts

Hatiamye Mume wa Rappa Nicki Minaj Amehukumiwa Kifungo cha Miaka Mitatu

 


Hatiamye mume wa rappa Nicki Minaj, Kenneth Petty (44) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu chini ya Uangalizi wa Mahakama pamoja na Kifungo cha nyumbani mwaka mmoja.


Hukumu hiyo imetolewa baada ya Petty kukiri kushindwa kujisajili kama mkosaji Kingono (Sex Offender) baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka msichana wa miaka 16 mwaka 1995 , ambapo mwaka 2020 alihitajika kujisajili kama mkosaji wa Kingono.


Pia Mahakama imemtaka alipe faini ya $55,000 ambazo ni takribani Shilingi Milioni 128 za Kitanzania.


Nicki na Petty ambao kwasasa wanaishi huko California, mwaka 2020 walibahatika kupata mtoto wao wa kwanza Wakiume.


Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments