Ticker

6/recent/ticker-posts

Mwamba Aliyevujisha Connection ya Irene Uwoya Atajwa...Alitaka Milioni 20 Irene Akakaza


Irene Uwoya; ni staa wa Bongo Movies ambaye naye ameingia kwenye listi ya waathirika wa kusambaa kwa picha na video za utupu (connection).

Sasa; yupo mwamba ambaye anatajwa kwa jina la Alawi Junior ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa Uwoya kabla ya kuzinguana.

Inasemaka huyo Mwamba Alikuwa anataka apewe Milioni 20 na Irene Uwoya Ili asivujishe video

Source: Global TV

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments