Aliyekuwa mke wa Harmonize, mwanadada Sarah Atinga Mahakamani Kudai Mgawanyo wa Mali

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Aliyekuwa mke wa Harmonize, mwanadada Sarah Michelotti leo amefika mahakama maalum inayoshughulikia kesi za talaka, mirathi na watoto wilaya ya Temeke, Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa madai ya talaka kati yake na Harmonize

Pia inadaiwa Sarah anataka talaka na mgawanyo wa baadhi ya mali ambazo bado zipo kwa Harmonize

Ikumbukwe kuna muda Harmonize alihojiwa akasema walishamalizana na Sarah, lakini mrembo huyo aliibuka kusema sio kweli kuna mambo Harmonize anadanganya
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad