Yanga Yatambulisha CEO Mpya Andre Matine, Wazindua App Ya Mashabiki – Video

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KLABU  ya Yanga, leo Septemba 27, 2022 imemtangaza Andre Matine kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutoka klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.

“Niliulizwa kwa nini nimeichagua Yanga, jibu langu lilikuwa ni rahisi tu, kwa sababu Yanga ni klabu kubwa Afrika,”  amesema Andre Mtine, raia wa Zambia aliyetangazwa kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa Yanga.

“Huu ni muendelezo wa ajenda yangu kubwa katika uongozi wangu ambayo ni kuimarisha klabu kiuchumi, kupitia App na tovuti hii kunafungua mlango kwa mashabiki na wapenzi wa Young Africans SC kuweza kujisajili kuwa shabiki au mwanachama rasmi,” amesema Hersi Ally Said, Rais wa Yanga.

Pia Klabu ya Yanga leo imezindua tovuti na App rasmi ya klabu hiyo ambayo itarahisishia wanachama, mashabiki na wapenzi wao kupata taarifa na maudhui mbalimbali kuhusiana na timu yao

________________

KISASI CHA USALITI PENZINI !!!,usipoipenda simulizi hii dai Mb na pesa zako,licha ya kuenjoy mahaba ndani yake kuna kitu cha kujifunza mwishoni Bofya Hapa kusoma Sehem ya 1 bure,sehem iliyobaki tsh 2000 kwa mtandao wowote.

Tembelea www.makapedia.com kwa stori mpya kila tarehe moja.


JE UNATAKA BIASHARA YAKO IWE YA UHAKIKA MIAKA YOTE YAJUE HAYA? usikose kitabu hiki Bofya Hapa kusoma sehem ya 1 bure sehem ya 2 tsh 2000 tu 

ndani ya www.makapedia.com

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad