Zoran Aishukuru Simba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki ameibuka na kuishukuru klabu hiyo kwa imani kubwa iliyompa ikiwa ni muda mchache tangu kuachana nayo.

Taarifa iliyotolewa na Klabu hiyo kupitia kwa Ofisa Mtendaji wake Mkuu, Barbara Gonzalez ilieleza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Zoran ikiwa ni miezi miwili tu tangu alipochukua mikoba ya Mhispania, Pablo Franco aliyeondoka Mei 31, mwaka huu.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Zoran aliandika; "Napenda kuishuruku klabu hii kwa kunipa nafasi ya kipekee, asante kwa wote walioniamini na ninashukuru kwa kila kitu,"

Msimu huu pekee kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara aliyokiongoza kikosi hicho, Zoran ameshinda yote akianza na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold Agosti 17 kisha ushindi wa 2-0 kutoka kwa Kagera Sugar Agosti 20 yote ikichezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad