Kizz Daniel Mkali wa Wimbo wa BUGA Kuburudisha Kumbe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Zikiwa zimesalia takribani siku 34 tuweze kuishuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2022 huko nchini Qatar, wimbo “BUGA” ambao ni smash hit ya mwimbaji nyota wa muziki toka Nigeria, Kizz Daniel akiwa na Tekno, utatumbuizwa kwenye michuano hiyo. Kizz Daniel ametangaza hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter.


Kizz Daniel ambaye alikuwa na ndoto ya kutumbuiza kwenye michuano hiyo na hata kupitia mahojiano yake mbalimbali alikuwa akieleza, hatimaye yametimia.


Pia kwenye tweet yake nyingine ametangaza rasmi jina la album yake mpya ijayo ambapo ameiita “Alcohol and Cigarettes” itafuatiwa na ziara yake ya muziki mwakani ambayo itakwenda na jina hilo hilo la album yake.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad