Jux Akana Kutoka Kimapenzi na Paula Kajala

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa muziki @juma_jux amejibu Tuhuma za kuwa na Mahusiano na Mrembo @therealpaulahkajala baada ya Stori hizo kusambaa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao ni Wapenzi.

@juma_jux akiwa kwenye kipindi cha #TheSwitch cha #WasafiFm amefunguka kuwa hana Mahusiano kabisa ya Kimapenzi na #Paula na anamchukulia kama Mdogo wake.

"Hapana naweza kusema ni Mdogo wangu tu na Hata hajawahi kufika nyumbani kwangu hiyo video sijawahi kuiona kabisa wala sikumbuki ni lini #Paula nimeonana nae,Mimi huwa nashangaa ni kwanini wananihusisha mimi ndio nadate nae Mimi nina Mahusiani yangu mengine kabisa"
.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad