Nairobi: Polisi Wawili wa Trafiki Wamwibia Raia wa Uchina Shilingi Milioni Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Polisi wawili wa trafiki wanaripotiwa kumwibia raia mmoja wa Uchina shilingi milioni moja Alhamisi usiku
Polisi hao wanasemekana kuchukua pesa hizo na kuondoka na gari lao kwa spidi wakisahau kofia ya mmoja wao
Mchina huyo kwa jina Liz Zhixin alipiga ripoti katika kituo cha polisi cha Muthangari na kumpokeza wakili wake kofia hiyo

Maafisa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wanachunguza kisa ambapo raia mmoja wa Uchina aliripoti kuibiwa shilingi milioni moja na polisi wa trafiki jijini Nairobi.

Nairobi: Polisi Wawili wa Trafiki Wamwibia Raia wa Uchina Shilingi Milioni Moja
Polisi wawili wa trafiki wanadaiwa kumwimbia raia wa Uchina shilingi milioni moja. Chanzo: UGC
Raia huyo wa Uchina kwa jina Liz Zhixin anasema kuwa alisimamishwa na maafisa wawili wa polisi wa trafiki katika barabara ya Othaya Alhamisi usiku akitoka Westlands kuelekea Junction Mall.

Kwa mujibu wa Zhixin, aliposimama mmoja wa maafisa hao wa polisi alifungua mlango wa nyuma wa gari lake aina ya Toyota Land Cruiser alikokuwa ameweka pesa hizo.





Afisa huyo kisha alichukua shilingi milioni moja na kuingia katika gari lao aina ya Fielder kabla ya kuondoka mara moja na kuacha nyuma kofia ya mmoja wa maafisa hao wa trafiki.

Nairobi: Polisi Wawili wa Trafiki Wamwibia Raia wa Uchina Shilingi Milioni Moja
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad