Mwanamuziki na Rekodi Hii Mpya...Aingiza Bilioni 3 Kwenye Show Moja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




 Hakika Burna Boy ni habari nyingine.. na hilo analithibitisha mwenyewe, hii ni baada ya #BloombergMarket kuitaja show yake aliyolifanya Jijini New York, nchini Marekani mwezi Aprili mwaka huu, katika ukumbi wa Madison Square Garden, unaoingiza takribani watu elfu 20,789 iliingiza zaidi ya Bilioni 3.7 za Kitanzania kupitia mauzo ya Tiketi.


Burna Boy ama “African giant” aliweka rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kwanza toka Nigeria na Afrika kwa ujumla kuuza tiketi zote (sold out) za show hiyo aliyoiita ‘One Night In Space’ ambapo aliungana na wanamuziki wengine Duniani waliowahi kufanya hivyo katika ukumbi huo kama Michael Jackson, Elvis Presley, The Beatles, Adele, Rihanna, Jay-Z, Justin Bieber na Mariah Carey.


Fahamu, Burna Boy alitumia zaidi ya saa 3 akiwa jukwaani pamoja na band yake kwa kutoa burudani iliyokata kiu ya mashabiki waliokuwa wakiimba nae mwanzo mwisho kwenye show hiyo.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad